Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
Deep state haimkubali Trump ila Anakubalika na Wamarekan, Deep state inamtaka Biden kwakuwa keshachoka mwili na akili wanamcontrol wanavyotaka, na Hasa kwenye Biashara ya SilahaAnanikumbusha Jeremy Corbyn chama chake wabunge walipambana kweli aachie nafasi mtu mwingine agombee nafasi ya PM jamaa na team yake wabishi ving’ang’anizi kweli.
Uchaguzi kufanyika wabunge kibao wakajikuta hawana vibarua, halafu baada ya hapo anawaambia sorry; sorry for what.
Wengi walikuwa na hasira nae sana kushindwa kupo kwenye uchaguzi lakini kama kiongozi wa chama jamii inakuona weak unaondoa trust ya wapiga kura na kwenye nafasi za wengine.
Ndio Biden na democrats (dejavu) babu huna uwezo wa kuendesha nchi ata watoto wadogo wanaona aelewi somo. Sema Trump nae safari hii Wall Street hawamkubali kabisa.
Interesting things to come
Kwamba mpaka wewe mmatumbi unayajua haya?Deep state haimkubali Trump ila Anakubalika na Wamarekan, Deep state inamtaka Biden kwakuwa keshachoka mwili na akili wanamcontrol wanavyotaka, na Hasa kwenye Biashara ya Silaha
Kuna kitu kizito wall street kama kwenye masoko ya hisa na huyu jamaa trump ndio sehemu yake hapo.Ananikumbusha Jeremy Corbyn chama chake wabunge walipambana kweli aachie nafasi mtu mwingine agombee nafasi ya PM jamaa na team yake wabishi ving’ang’anizi kweli.