Rais Biden wa Marekani adondoka akiendesha baiskeli, anamuiga Rais Putin

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Huyu ni Biden alidondoka akiwa anaendesha baiskeli

Huyu ni jemedari Putin akiendesha farasi

Mtu ana miaka 78 na kachoka hivi amataka kuendesha baiskeli? mambo mengine kujitakia, huyu term ijayo hatoboi watamshauri apumzike maana anapoteza kumbukumbu hata ya kuendesha baiskeli πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
 
Wakati huo mwenzake anapeta juu ya farasi kwa Kasi ya kimbunga jobo
 
Mambo mengine ukiyashangaa utaonekana mjinga tu.Unashangaa kitoto cha wiki moja kujikojolea?
 
Mtu ana miaka 78 na kachoka hivi amataka kuendesha baiskeli? mambo mengine kujitakia, huyu term ijayo hatoboi watamshauri apumzike maana anapoteza kumbukumbu hata ya kuendesha baiskeli πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
Marekani na Kenya soon zitaongozwa na wamama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…