Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Zanzibar imeondolewa kwenye mashindano ya CAF.Sasa Mh.Rais Dr Hussein Mwinyi utambue tu kuwa Zanzibar ni nchi ndani ya Muugano.
Usije kutuweka kwenye ramani ya kuwa mkoa wa 32 wa Tanzania. Maana maoni ya wengi hapa wametufananisha na mikoa ya Lindi, Tabora.
Kumbuka tu au mwulize baba yetu Mzee Mwinyi, baba wa taifa Hayati Mwalimu Nyerere alikuwa anaitambua zanzibar kama nchi ndani ya muungano.tunakuomba uturudishe caf na utuombee tuwe wanachama wa fifa.historia itakuhukumu.
Inshaallah allah akujaalie kila la kheri katika majukumu yako ya kila siku na akupe umri mrefu utuongoze wazanzibari kwa uadilifu uliokuwa nao.ameen.
Soma:
1). Zanzibar kunyimwa uanachama wa FIFA na CAF ni chuki kisiasa au kukosa vigezo?