Rais Dkt. John Magufuli kuwakabidhi Kombe Mabingwa wa VPL Simba SC

Huu ubingwa umewatia uchizi mikia wote hadi kina Karia na Kidau! Kweli mgumba amezaa
Mtamaliza nyimbo zote za taarabu. Na hali hiyo mpaka 2030, mlizoea viporo kutoka kwa TFF ya Malinzi [emoji196] [emoji196] Vyura FC
 
Ni umburulaz na ulimbikeni kipofu kuona mwezi yaan kulikosa miaka mitano ni kama kupata kombe la dunia hivi yanga wakiingia hata robo caf waende ikulu sio
 
Ni umburulaz na ulimbikeni kipofu kuona mwezi yaan kulikosa miaka mitano ni kama kupata kombe la dunia hivi yanga wakiingia hata robo caf waende ikulu sio
Thubutuu.. Kwa mpira gani wa kuingia robo Caf, Level hiyo ni Simba SC walifika fainali Kombe la CAF, Vyura mtaishia kutinga makundi na kesho Rayon Sports wanawajambisha puuuuuuh[emoji196] [emoji196]
 
Kweli mkuu wamekuwa machizi wa mitaani wangechukua miaka mitatu tungewakuta mirembe,,,
Kwani Simba SC hawajawahi kuchukua mara 3? Endeleeni na kuweweseka kwa saumu kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…