Rais Dkt. John Magufuli kuwakabidhi Kombe Mabingwa wa VPL Simba SC

Umechelewa sana kujua hilo[/QUOT
Yes, Inawezekana nimechelewa kujua mkuu, Hebu nijuze kwa record. Hiyo record y'a kuchukua kombe la Ligi y'a Vpl mara 3 mfululizo ilikuwa miaka ipi kwa faida ya wadau wote.
 
Kuanzia 1974-80 hesabu mwenyewe huo mfululizo hapo .. This is Simba SC brother
 
You're in Free Mode

See Photos

TUJIKUMBUSHE MABINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA TANGU 1965

*.1965 Sunderland (Simba SC)

*.1966 Sunderland

*.1967 Cosmopolitan

*.1968 Young Africans sc

*.1969 Young Africans Sc

*.1970 Young Africans Sc

*.1971 Young Africans Sc

*.1972 Young Africans Sc

*.1973 Simba SC

*.1974 Young Africans Sc

*.1975 Mseto SC

*.1976 Simba SC

*.1977 Simba SC

*.1978 Simba SC

*.1979 Simba SC

*.1980 Simba SC

*.1981 Young Africans Sc

*.1982 Pan Africans Sc

*.1983 Young Africans Sc

*.1984 Simba SC

*.1985 Young Africans Sc

*.1986 Tukuyu Stars

*.1987 Young Africans Sc

*.1988 Coastal Union

*.1989 Young Africans Sc

*.1990 Simba SC

*.1991 Young Africans Sc

*.1992 Young Africans Sc

*.1993 Young Africans Sc

*.1994 Simba SC

*.1995 Simba SC

*.1996 Young Africans Sc

*.1997 Young Africans Sc

*.1998 Young Africans Sc

*.1999 Mtibwa Sugar

*.2000 Mtibwa Sugar

*.2001 Simba SC

*.2002 Young Africans Sc

*.2003 Simba SC

*.2004 Simba SC

*.2005 Young Africans Sc

*.2006 Young Africans Sc

*.2007 Simba SC

*.2007/08 Young Africans Sc

*.2008/09 Young Africans Sc

*.2009/2010 Simba SC

*.2010/2011 Young Africans Sc

*.2011/2012 Simba SC

*.2012/2013 Young Africans Sc

*.2013/2014.....................................













Kuanzia 1974-80 hesabu mwenyewe huo mfululizo hapo .. This is Simba SC brother
 
Hiyo aliandika kishabiki zaidi, kuna utanganyifu sehemu baadhi. Ni Vyura FC huyo
 
Hiyo aliandika kishabiki zaidi, kuna utanganyifu sehemu baadhi. Ni Vyura FC huyo
usitudanganye, record zipo wazi, 1974 $1975 Simba haikuwa bingwa. Hata Hivyo point yangu ni VPL. Simba kwa Vpl hiyo record hana, labda aanze kuitafuta kuanzia msimu huu.
 
usitudanganye, record zipo wazi, 1974 $1975 Simba haikuwa bingwa. Hata Hivyo point yangu ni VPL. Simba kwa Vpl hiyo record hana, labda aanze kuitafuta kuanzia msimu huu.
Amini hiyo rekodi yako aliyotoa Myanga mwenzako kwenye Insta .By the way Simba SC wamechukua zaidi ya mara tatu hapo nyuma. Halafu hifadhi kumbukumbu sijasema Vpl.. Nimekuuliza kwani Simba SC hawajawahi kuchukua ubingwa mara ndo mada hapo, rejea post # 35
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…