Acha kuhangaika nayanga kawaulize viongozi wako kama billion 20ya Mo haijawekwa kwenye account,it means Mo anawakopesha nyie mnachekelea tu huku baadaye akiwaambia anawadai billion 15,mimacho itawatoka,so acha kuhangaika nayanga wakati kwako kuna shida.
Vp umeshaona sehemu wanauza hisa zenu?