Rais Dkt. Mwinyi afungua mchezo kati ya Zanzibar Heroes vs Kilimanjaro Stars

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua mchezo maalum wa mpira wa miguu ulioshirikisha Zanzibar Heroes dhidi ya Kilimanjaro Stars baada ya ufunguzi wa uwanja mpya wa Amaan Complex uliofanyiwa ukarabati mkubwa.

Rais Dk. Mwinyi atakabidhi kiasi cha shilingi milioni 10 kwa kila timu.

Mchezo unafanyika uwanja mpya wa Amaan Complex, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Desemba 2023.
 
Ahsante kwa taarifa, Urais unazeesha sana...
 
Wafanyakazi wa serikali mko slow sana. Hiyo habari imeshachuja, watu wameshaisahau hiyo mechi ndiyo unakuja kuileta. Nyakati zimebadilika.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…