Rais Dkt. Mwinyi aishukuru Benki ya Dunia kwa Dola Milioni 100 Kuboresha Sekta ya Afya

Rais Dkt. Mwinyi aishukuru Benki ya Dunia kwa Dola Milioni 100 Kuboresha Sekta ya Afya

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Benki ya Dunia kwa Msaada wa kiasi cha Dola Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini.

Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki hiyo Kanda ya Kusini Mwa Afrika Milena Stefanova na ujumbe wake, Ikulu Zanzibar tarehe 18 Februari 2025.

Soma Pia: Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea kuimarisha sekta ya nishati nchini

Aidha Rais Dkt.Mwinyi ameuelezea Ujumbe huo kuwa Serikali ina Malengo Mahsusi ya kuifanya Zanzibar kuwa kituo Bora cha Matibabu kwa Nchi za Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla na kuipongeza Benki ya Dunia kwa kuendelea kuunga mkono juhudi hizo.

Screenshot 2025-02-18 214822.png
 
Hahaa.....ombaomba amekalia kiti na kujitanua kama Mfalme, mtoa msaada wala hana makuu.
 
Back
Top Bottom