The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
"Tumekuja mbele yenu kutoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu kwa uamuzi ule ambao ulikuwa ni wa busara sana, sasa wapo wa vyama vingine ambao kwakweli wao hayawahusu wanaingilia utaratibu wa chama cha mapinduzi, tunasema haya hayawahusu wanaCCM waliamua kwa makusudi na walikuwa na sababu za kuamua baada ya kuona utekelezaji katika pande zote mbili za jamhuri ya muungano wa tangania"
"Leo tuko hapa tunazungumza kifua mbele kwa sababu tumetekeleza yale yote yaliyomo ndani ya ilani yetu ya CCM na watekelezaji ni kwa ngazi zote"
Dkt Mwinyi ameyasema hayo wakati wa hafla ya Mapokezi ya mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Kiwani, Kusini Pemba
Soma pia: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025