Rais Dkt.Mwinyi ipambanie Zanzibar ipate Uanachama FIFA, watatutoa kimasomaso Afrika Mashariki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hilo ni ombi langu kwako mh Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi

Nakumbuka timu ya Taifa ya Zanzibar Captain akiwa Omar Hassan " King" ilikuwa Bora mara 100 kuliko Taifa Stars

Equetorial Guinea ina idadi ya Watu takribani 1.6 mil karibu Sawa na Zanzibar inaonyesha maajabu Huko Afcon Tanzania yenye Watu milioni 60 tunambwelambwela tu

Nawasilisha kwako Charls Hilal
 
Shida ni wachezaji wa Simba wamelegea legea sana
 
Acheni kuwahadaa Wananchi Watu wanataka Umeme wa uhakika wanataka Serikali isimamie mfumuko wa bei Wananchi wanataka gharama za maisha za kushusha bei ya ugali na mboga zake mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…