msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 842
- 1,197
Wakazi na Wananchi wa Mkoa wa Lindi wamejitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi kwa ajili ya kumpokea Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani humo kwa ajili ya kushiriki siku ya Ukimwi Duniani.
Kwa mujibu wa Wananchi wa Lindi waliokua wamevaa sare maalum za Mama Karibu Kusini, wamesema ujio wa sasa wa Rais Dkt. Samia umeweka rekodi ya mapokezi ya Kiongozi Mkuu wa nchi katika Mko wa Lindi tangu Tanzania ipate uhuru.