Danganya Toto hiyo. Mama alikuwa anaimba taarabu tu leoAkifungua mkutano maalumu wa Baraza la vyama vya siasa leo hii trh 11/9/2023, Rais dkt Samia amesema kuwa Katiba mpya ni Mali ya watanzania wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini na wasio na dini, wakubwa kwa wadogo kila mmoja anayo haki kuielewa katiba yake...
Anachokisema ni sahihi kwake Ila mama anasahau tuu tupo kwenye kizazi chenye elimu na ni kizazi cha kuhoji kila wakatiAkifungua mkutano maalumu wa Baraza la vyama vya siasa leo hii trh 11/9/2023, Rais dkt Samia amesema kuwa Katiba mpya ni Mali ya watanzania wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini na wasio na dini, wakubwa kwa wadogo kila mmoja anayo haki kuielewa katiba yake.
Amefafanua kuwa ni lazima na muhimu elimu ikatolewa ili kila mtanzania awe na uelewa juu ya katiba yake.
Tunaunga kauli ya Rais dkt Samia kuwa elimu kuhusu katiba itolewe ili nasi wananchi tuielewe.
Naunga mkono hoja,maana Chadema wanataka kuburuza watun.kana kwamba wanaoitaka hiyo Katiba ni Chadema peke Yao ndio Wana hati milikiAkifungua mkutano maalumu wa Baraza la vyama vya siasa leo hii trh 11/9/2023, Rais dkt Samia amesema kuwa Katiba mpya ni Mali ya watanzania wote, wenye vyama na wasio na vyama, wenye dini na wasio na dini, wakubwa kwa wadogo kila mmoja anayo haki kuielewa katiba yake.
Amefafanua kuwa ni lazima na muhimu elimu ikatolewa ili kila mtanzania awe na uelewa juu ya katiba yake.
Tunaunga kauli ya Rais dkt Samia kuwa elimu kuhusu katiba itolewe ili nasi wananchi tuielewe.
Kwa hilo Mama kasema no.Naunga mkono hoja,maana Chadema wanataka kuburuza watun.kana kwamba wanaoitaka hiyo Katiba ni Chadema peke Yao ndio Wana hati miliki
Ndio na Katiba Mpya baada ya Elimu ,hatutaki haya yatufike 👇Kwa hilo Mama kasema no.
Wananchi wasiburuzwe na wanasiasa