Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Chexew wawekezaji wewe, stake holders wa tesla almanusura wamtoe kwenye hiyo nafasiDakika chache zilizopita, Rais Donald Trump kaongea na waandishi wa habari ofisini kwake katika hafla ya kumuaga Elon Musk, ambaye amenaliza muda wake kama ‘Special Government Employee’.
Kinyume na narrative ya baadhi ya watu kuwa Trump na Musk wamemwagana [whatever that means], Musk kamaliza muda wake uliowekwa kisheria kuhusu hiyo nafasi na leo kaagwa rasmi na kupewa ufunguo wa heshima kwa White House [an honorary key to the White House].
Hiyo ni heshima ambayo ni nadra sana kutolewa.
Mtu aliyefukuzwa anapewa ufunguo wa heshima 🤣.
Acheni uzushi.
View: https://youtu.be/KXzN8QFJmT4?si=iYfpzGpjLO3bKPQW
Acha kunichekesha.Elos Musk ni MCHAWI.
Anamloga Trump
Ufanisi wapi,kuchukua madini ya Ukraine na kuwatafutia walowezi wa South Africa makazi USA.Kazi aliyopewa Bwana Elon Musk ameifanya na kuikamilisha na muda wa Mkataba wake umeisha.
Najua kutokana na umuhimu wake, huenda akapewa kazi nyingine hapo baadaye
Nasi Tanzania tungeweza, tungem-hire atusaidie kuongeza ufanisi Serikalini 😜
bongo vitu havieleweki ,atakosa hata pakuanziaKazi aliyopewa Bwana Elon Musk ameifanya na kuikamilisha na muda wa Mkataba wake umeisha.
Najua kutokana na umuhimu wake, huenda akapewa kazi nyingine hapo baadaye
Nasi Tanzania tungeweza, tungem-hire atusaidie kuongeza ufanisi Serikalini 😜
Sawa ni ujinga mtupu...wewe na akili yako (kama unayo) umesaidia nini taifa lako hata kwa jambo la kijinga basi??Ufanisi wapi,kuchukua madini ya Ukraine na kuwatafutia walowezi wa South Africa makazi USA.
Ujinga mtupu.
Ubaya Tanzania hata apatikane mtu kama huyo lazima atapokea maelekezoKazi aliyopewa Bwana Elon Musk ameifanya na kuikamilisha na muda wa Mkataba wake umeisha.
Najua kutokana na umuhimu wake, huenda akapewa kazi nyingine hapo baadaye
Nasi Tanzania tungeweza, tungem-hire atusaidie kuongeza ufanisi Serikalini 😜
Nyie uzeni bandari na ngorongoro, musk siyo wakunyea.Kazi aliyopewa Bwana Elon Musk ameifanya na kuikamilisha na muda wa Mkataba wake umeisha.
Najua kutokana na umuhimu wake, huenda akapewa kazi nyingine hapo baadaye
Nasi Tanzania tungeweza, tungem-hire atusaidie kuongeza ufanisi Serikalini 😜
Hahaha......... kwahiyo ndiyo kusema Samaki mmoja akioza wote wameoza 🙌Nyie uzeni bandari na ngorongoro, musk siyo wakunyea.
Sio laana MkuuUbaya Tanzania hata apatikane mtu kama huyo lazima atapokea maelekezo
Hii nchi inalaana ya uongozi
Yule ni mtaalamu wa mifumo, Kila kitu kitawezekanabongo vitu havieleweki ,atakosa hata pakuanzia
Huoni Marekani ameonesha amepata Faida zaidi ya Bilioni kadhaa kutokana na ufanisi wa Elon MuskUfanisi wapi,kuchukua madini ya Ukraine na kuwatafutia walowezi wa South Africa makazi USA.
Ujinga mtupu.