Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ukimya wa Mhe. Rais kisiasa umesaidia sana kufahamu ana maadui wangapi na marafiki wangapi. Ukimya wake umesaidia sana kuona comments za mitandaoni zinavyoweza kutafsiri jamii unayoiongozia.
Ukimya wake umewafanya viongozi wenzake waandike kila mtu kwa mtizamo wake kwenye makundi ya WhatsApp na wengine kujadili afya yake kwenye vijiwe.
Urais ni taasisi, naamini wasaidizi wake watatumia kipindi hiki kuchuja wale wanaoshangilia na kushauri wakae pembeni. Lakini pia ni muda sahihi wakuona wapi wasaidizi wake wanamchonganisha na jamii na wapi wanatangaza vyema kazi zake.
Tunatarajia kishindo kikubwa kupambana na wachumba tumbo wanaojifanya wema kumbe wanashiriki kuhujumu juhudi zako. Watazame kwa jicho lakuwakemea na kuwaonya. Walete mtaani waondoke kwenye ofisi za umma kama wameshindwa kusimama na wewe kwenye shida na raha. Unafiki mwisho