Rais francois bozize amfunga mwanaye jela.

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
[h=2]Saturday, November 10, 2012[/h][h=3][/h]


RAIS wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Francois Bozize, anaripotiwa kuchukua hatua isiyo ya kawaida ya kuamrisha mwanawe mwenyewe wa kiume afungwe, kwa sababu hakulipa bili kubwa ya hoteli.




Afisa wa polisi alisema mtoto huyo wa Rais Bozize, Kevin, anadaiwa zaidi ya dola 13,000 baada ya kukaa kwa siku kadha kwenye hoteli ya fahari katika mji mkuu, Bangui.


Kevin Bozize ni kepteni kwenye jeshi la nchi hiyo.



 
kwani mahakama hakuna ktk nchi hiyo mpaka raisi aamuru kijana wake afungwe? usikute huyo kijana ni mtoto wake wa kufikia au anatilia shaka kuna jamaa alichangia ujio wake hapa duniani. Huo sio uzarendo ni dehumanization. he needed to go to the class of congenital deformity!
 
Bila shaka ameingilia kati kama mzazi
 
Kama amekosa anastahili adhabu.Either alipe bill yake au afungwe.Siyo swala la mtoto wa ndani au wa nje.Nampa hongera sana na viongozi wetu waige mfano wake.:smile:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…