Tetesi: Rais Hassan wa Iran aambuzikwa Coronavirus

Hapa lazima watu waseme mabeberu ya USA yamefanya yao, ngoja tusubiri tutaona na kusikia mengi MUNGU asipotuvuna mapema.
 
Hapa lazima watu waseme mabeberu ya USA yamefanya yao, ngoja tusubiri tutaona na kusikia mengi MUNGU asipotuvuna mapema.
Wamarekani ukiwapiga kwa makombola wao wanakupiga kwa njia nyingine.
 
Ingekuwa ni wa hapa kwetu komenti zisingekuwa "usinywe viroba"
 
Hapa lazima watu waseme mabeberu ya USA yamefanya yao, ngoja tusubiri tutaona na kusikia mengi MUNGU asipotuvuna mapema.
Mtu mwenye akili timamu unaitofautishaje Marekani na Corona
 
Ni tetesi Kama ilivyo tetesi kuwa Pope nae kapata maambukizo,,,tofauti Ni kuwa Pope alionekana hadharani akipiga chafya na kupenga na Leo Ni siku ya tatu bado anaumwa
 
Moderator huwa wapo faster sana kwenye kufuta na kuunganisha nyuzi zangu ila uzushi kama huu ni unaachwa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…