Rais Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali

Rais Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Salum Yussuf Ali
1645103309842.png

 
Yeye karibu kila siku ni kutumbua tu.
Haya aendelee hivyo hivyo kutumbua mpaka miaka mitano iishe.
 
Naomba msaada kufahamu maana ya Baraza la Mapinduzi
 
Kwenye chama chenu asp walilazimisha neno mapinduzi liwepo Kama sharti la kuua chama Chao,we unaona maana yoyote ya neno mapinduzi pale ccm!!?...
Ni kweli mkuu jina la cha chetu limemezwa na kisiwa
 
Kamkoa ila kana vyeo rukuki..wilaya ni mitaa miwili..jimbo ni kata moja...absurd kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
Kanatunyanyasa balaa, kama ni katoto ni kale kananyonya ziwa mara kang'ate chuchu mara kapige mateke mama mtu basi tabu tupu
 
Back
Top Bottom