Rais Hussein Mwinyi: Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa Corona

Hongera Rais Mwinyi' agiza chanjo,wataalamu wakithibitisha zinafaa,chanja watu wako. Zanzibar huru,nchi huru.

Mungu akuzidishie maisha marefu kwa kuchukua hatua za kutekeleza kiapo chako" KULINDA MAISHA YA WAZNAZIBARI"
 
Tafadhari inayotangazwa ni changamoto ya magonjwa ya kupumua siyo corona. Unaelewa matamko kabla hujawabishia watu wenye akili.
 
Akifanya hivyo itasaidia sana na atakuwa ni Rais wa mfano duniani. Hata Yesu aliwaosha miguu wanafunzi wake. Hivyo hata kuwa wa kwanza kufanya hivyo🤣🤣🤣🤣
 
Amakweli wewe ni LULU ,tuliambiwa tuchukue tahadhali dhidi ya CHANGAMOTO YA KUPUMUA.
 
watu wasichoelewa ni kuwa hizo chanjo hazigaiwi bure unalipia

jiwe anaokoa hela aendelee kujenga madaraja yake na sio km hajui km kuna tatizo
Siku corona ikiingia kule kwetu ndiyo tutaelewana
 

Lini amesema kuna corona? Ama unadhani kauli zake hazifahamiki? Baada ya watu wengi kuweka wazi kuhusu huu ugonjwa hasa viongozi wa dini, ndio mnajifanya kujiingiza na vilugha lugha vyenu eti kuna siku amekataa?
 
Unajua kuna watu wao wanachotaka ni kusikia tu serikali imekiri kuwa kuna corona kwao huo ni ushindi,sasa huko ZNZ juzi tu kwenye mazishi ya Maalim Seifu watu walikusanyana kama kama dunia haina corona vile hakukuwa na tahadhari zozote ina maana serikali haikuwa ikijua kama kuna corona?
 
Dr Mwinyi achukue hatua zaidi, apate chanjo ya sputnik V, ni salama zaidi na inauhakika by Putin!
 

Mwinyi anajielewa...kashaona life is too short.
 
Mkuu umeandika haraka kama upo UCHI. Pili Mwinyi sio kiongozi wa serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, tatu inabid umtafute Honi Sigara ujifunze kiswahili kidogo.

Yaaani unashindwa kuelewa kuwa raisi wa Zanzibar ni mjumbe halali wa baraza la mawaziri la jamuhuri ya muungano ambacho ndicho chombo kikuu cha kumshauri raisi wa jamuhuri ya muungano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…