Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Kama utapata muda wa kupitia bandiko hili toa miwani yako ili usome kwa kutumia macho yako.
Nimeona kuna watu wameanza kutupwa mtoni potelea mbali kama mbwai iwe mbwai. Kibaya zaidi naona ugomvi unazuka tukiwa katikati ya daraja dakika chache kabla ya kuvuka mto.
Umewahi kujiuliza mh spika mstaafu anawaza nini ? Lakini umewahi kupata muda wa kufikiria kwamba mzee wa Kilosa Magamba Kibudenga anachofikiria? Au yule waziri wa zamani wa ardhi uliyemfurusha kwamba amezeeka kuliko Mkuchika ndugu Williamsoni Makuvi anachowaza unakijua?
Mzee Makamba kamba na huyu msomali unajua wanawaza nini?
Mambo yatabadilika ghafla hautaamini kabisa! Kwani wanaokushauri kwamba kila kosa ni kosa ni akina nani?
Unamfahamu Mpina? Muulize Kikwete na Hayati Magufuli 2015 mambo yalipogeuka alikuwa anapumulia mashine, siasa za nchi usije kuzipuuza kwa kuangalia ukimya wa watu ukajua tayari umeshinda
Nikutakie kazi njema Mimi naendelea na kazi yangu ya uganga !