Ni aibu kubwa kwa timu yetu ya Taifa yenye kupata support ya kila aina kutoka serikalini kuwa ya mwisho kwa ubora katika ukanda huu wa nchi za Afrika Mashariki.
Katika viwango vya ubora katika soka vilivyotolewa jana na FIFA,Tanzania ni ya 140 ikiachwa mbali na Uganda.Leo hii mpaka Kenya wametupita?
TFF,wachezaji tuhurumieni watanzania!