Tetesi: Rais Jacob Zuma kujiuzulu ama kung'olewa na ANC

Tetesi: Rais Jacob Zuma kujiuzulu ama kung'olewa na ANC

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Habari zakunyapia nyapia kutoka SA yule rais ambaye aliingia madarakani kwa kumfanyia zengwe mwenzake Thabo Mbeki akajiuzulu. Nayeye pia siku zake zinaesabika baada ya kuwepo mashinikizo ndani na nje ya chama kumtaka ajiuzuku.

Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinasema kwamba hotuba yake amepanga kuitoa alhamis kwa taifa uwenda asiitoe.

Pia tayari vyombo vya usalama na ulinz vipo tayar kwa lolote.
Ukiuwa kwa upanga na wewe pia utakufa kwa upanga.
 
Nakumbuka figisu zake kwa Thabo Mbeki. Lakini yeye sasa anaona ugumu kuchukuwa hatua kama Mbeki !!!!
 
Back
Top Bottom