Rais Jakaya Kikwete akagua kituo cha michezo cha vijana Kidongo Chekundu

Rais Jakaya Kikwete akagua kituo cha michezo cha vijana Kidongo Chekundu

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,701
Reaction score
1,714
kikwete-e1442423331233-406x264.jpg
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitambulishwa na Mkurugenzi wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa kocha wa vija na kutoka Uingereza anayetambuliw3a na FIFA ambaye atakuwa mkufunzi Mkuu katika kituo hicho wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wakituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion.

Kikwetee-620x264.jpg
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion

unnamed.jpg
unnamed.jpg
 
Haya nia matumizi mabaya ya ardhi. Hakukuwa na sababu za kituo hi kujengwa katikati ya mji kiasi hiki.
 
Unamaanisha kingejengwa angani au kisingejengwa kabisa mkuu??

Rudia kusoma nilichoandika. Niliandika hivi "Haya nia matumizi mabaya ya ardhi. Hakukuwa na sababu za kituo hi kujengwa katikati ya mji kiasi hiki".
 
ivi ni raisi gani mwingine ukiacha vasco da gama alishawahi kuzndua uwanja wa michezo,vyoo,magodown,barabara,saccos,vicoba na mabomba ya maji au visima??
 
Rudia kusoma nilichoandika. Niliandika hivi "Haya nia matumizi mabaya ya ardhi. Hakukuwa na sababu za kituo hi kujengwa katikati ya mji kiasi hiki".
Bado ueleweki mkuu kwani huko mjini hakuna watoto wa kujifunza hadi wakawekewe mbali na makwao? Pia kumbuka nssf wanajenga nje ya mji azam wapo nje ya mji, au katikati ya mji wakifundishwa hawaelewi?
 
Bado ueleweki mkuu kwani huko mjini hakuna watoto wa kujifunza hadi wakawekewe mbali na makwao? Pia kumbuka nssf wanajenga nje ya mji azam wapo nje ya mji, au katikati ya mji wakifundishwa hawaelewi?

Nami nasisitiza hayo ni matumizi mabaya sana ya rasilimali ardhi. Maana miundombinu ya usafirishaji ili ufike pale ni balaa, Wangejenga hata mikoani sio kila kitu lazima kiwe jijini.
 
Nami nasisitiza hayo ni matumizi mabaya sana ya rasilimali ardhi. Maana miundombinu ya usafirishaji ili ufike pale ni balaa, Wangejenga hata mikoani sio kila kitu lazima kiwe jijini.
Aiseee

Sent from my Phantom6 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom