mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Haiwezekani hali inakuwa mbaya kiasi hiki, elimu inashuka matokeo yanapikwa, wataalam wanamdanganya, amekubali, katika kada ya walimu tangu Mh Rais aingie madarakani, ahad yake muhimu ilikuwa kuwaona na kuwaongezea na kutibu ugonjwa /madai na udogo wa mishahara ya walimu.
wana mishahara midogo sana. wanaodanganya na payroll hawaelewi, hata mwalimu akimpita jaji kwa laki moja, bado idara zingine wana kile kitu kinaitwa dokezo, aka posho.. mwl anaangalia mshahara wake tu.
Kuhusu dokezo au posho zamani, hii ni hela isiyokuwa na muda siku au wiki inatoka baada ya kutekeleza kazi flani ambayo inaumuhim ama ikiwa yenyewe ni hela. huyu mtu hata akipata 5000 kila siku ni sawa na si chini ya 10000 kwa mwezi, kazi zingine zinafika hadi 30000-60000, wanaolewa zaidi wanasema milioni moja inafika kama posho.
Huyu mwalimu alidanganywa, akisubiri na anasubiri, lkn majani yanaumia...ni nani hajui hakuna cha tume wala nani?? isipokuwa mwalimu alipwe na elimu itajiseti yenyewe, mwl kama daktari hahitaji yooote hayo yasemwayo na BRN sijui kitu gani, mwl awezeshwe aweze kukaa na mtoto amjaze taaluma.
mwalimu ataweza kukaa na mtoto masaa meengi na mtoto huyu atajifunza tabia njema, maadali mema, hakuna facebook shuleni mtotot akaapo na mwl, ataiona wapi kama atatumia masaa 12 na mwalimu?
Rais katika nyakati mbalimbali wawakilish wake walidai, mwl anamshahara mkubwa na amependelewa , si kweli hata kidogo. Mw ni dhahlili mkubwa na mwl anapata shida sana kubajeti maisha. Rushwa haitaisha kama mwal hatangaliwa kwa kuwa mwl atamjenga mtoto kimaadili. Mawaziri wandanganya wanamdanganya mkuu wa nchi kwamba ukimpa mwl maslahi mazuri idara zingine watadai, huu ni uzandiki mkubwa.
Kudhani hivyo kunashusha hadhi ya elimu nchinikwa kuwa wataalam wanakimbilia katika maendeo mengine.. ikiwemo siasa. Shule, elimu ndio msingi wa kila kitu, hata daktari atakana na mwl mzuri, injinia atatokana na mwl mzuri, kwa nini mnamdanganya Rasi kwamba mshahara wa watu flan ukiwa mkubwa wataandamana? Mbona TRA wanapata kila kitu?
Anaelewa aelewe, asiyetaka baasi, lakini huo ndio ukweli, Dawa ya kukuza elimuni kumpa stahiki na kisha umbane, msimamie kama umemlipa fedha za kutosha, waache watu wakimbilie uwalimu kwa kuwalipa vizuri, waache wenye vipaji wakimbilie uwalimu...leo niambie mwanafunzi gani mwenye kipaji anakimbilia wapi? TRA? wapi?
Rais fikiri nje ya box