Rubesha Kipesha
Member
- Mar 14, 2012
- 85
- 14
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama kuanzia tarehe 1 Julai, 2012.
Nimesikitishwa sana na tabia ya baadhi yaetu. Eti unamuhoji mtanzania mwenzako ni wa dini ipi. Haya ndio mambo yanayo rudisha nyuma maendeleo. Tukianza kutafutana, wengi wataumia sabau wengi katika hao wanatoka kwenye dini hiyo nyengine lakini utaifa na utendaji ndio muhimu. Tukianza udini, tutakorogana kweli kweli.
Mbinga mbona mbali alikua mkurugenzi wa halmashauriya kinondoni,alipambana sana na genge la kina londa na mdogo wake Regina lowassa,baada lowassa akapendekeza aondolewe pale,akapelekwa kuwa RAS sijui mkoa gani nimesahaumbinga wanamfahamu zaidi
Na bado tunajiita wana demokrasia. Uko wapi uhuru wa Mahakama kama mhimili wa dola....
Mbinga mbona mbali alikua mkurugenzi wa halmashauriya kinondoni,alipambana sana na genge la kina londa na mdogo wake Regina lowassa,baada lowassa akapendekeza aondolewe pale,akapelekwa kuwa RAS sijui mkoa gani nimesahau
Jaji mkuu, jaji kiongozi, wasajili wa mahakama, mtendaji WAISLAM
Huyu jamaa ni mchapakazi makini.aliwahi kuwa RAS mkoa wa morogoro!. kutoka Mkurugenzi wa manispaa kwenda kuwa RAS ni PROMOTION!atakuwa ametoa mchango mkubwa sana kuhakikisha wakurugenzi watendaji wa wilaya waliovuliwa madaraka,walioshushwa vyeo na waliopewa maonyo mwaka huu kuchukuliwa hatua!jamaa ni jembe
JK ataliangamiza taifa letu kwa udini. Shame on him JKilaza!
anayefafamu uadlifu na na C.V ya hussein katanga atupe
Ndo maana tunataka sensa iwe na kipengele cha dini ili tujue ukweli uko wapi sio unatokwa na mapovu hapa mnajijua mpo wa chache halafu unanyanyua domo piga kimya.