Rais Jakaya Kikwete amteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama

Mimi kila wakti nawashauri GT msipende kulalama bali muwe mnapoteza kidogo muda wenu kusoma Kkatiba yenu ya Muungano.

Someni Katiba ya Muungano inavyozungumzia mamlaka ya rais wenu katika sharia namba 15 ibara ya 9 ya mwaka 1984 na marekebisho yake katika sharia ya namba 3 ibara ya 6 ya mwaka 2000. kifungu cha 36 sehemu 2 inasema:
(2) Rais atakuwa na madaraka ya kuteua watu wa kushikanafasi za madaraka ya viongozi wanaowajibika kuweka sera zaidara na taasisi za Serikali, na watendaji wakuu wanaowajibikakusimamia utekelezaji wa sera za idara na taasisi hizo katikautumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano, nafasi ambazozimetajwa katika Katiba hii au katika sheria mbalimbalizilizotungwa na Bunge kwamba zitajazwa kwa uteuziunaofanywa na Rais.
 

Ishakuwa SHARIA na si SHERIA tena?
 
Binafsi namfahamu H. KATANGA ni mtanzania mchapa kazi. Ila naona kam vile kashuka kidago maana PMO-RALG/TAMISEMI ndiyo serikali bwana. All the best Bw Kattanga
 
Toka 2012 jamaa anakula teuzi tuu.

Kina Bashiru hawajaonja hata mishahara miwili wameshanyofolewa[emoji4]
 
Mkuu njoo huku aisee SHIKAMOO Jamiiforums...
 
C kwa kaburi hili hahaha
Hongera katanga kafanye kazi iwe zaid ya kinondon
 
Hussein Katanga
 

Tulieni dawa iingie
 
Toka 2012 jamaa anakula teuzi tuu.

Kina Bashiru hawajaonja hata mishahara miwili wameshanyofolewa[emoji4]
Alikuwa siku zote hajui ya kwamba ccm ina wenyewe! Yaani yeye ni Makinikia, halafu anataka akae jikoni! Sasa amerudishwa mahali pake anako stahili.
 
Huyu mama sehemu nyeti anaweka vipenzi vya Mzee kikwete kulikon!

Hayati JPM alimteua Dk Mpango kuwa waziri wa Fedha, na kabla ya hapo Mpango alikuwa mkuu wa tume ya mipango nafasi aliyoteuliwa na JK akiwa madarakani,,, je Jpm nae aliteua vipenzi wa JK!????

PM Majaliwa aliteuliwa na JK unaibu waziri, Hayati akaja kumpa uPM, je Hayati nae aliteua vipenzi vya Jakaya!??

Makonda aliteuliwa na JK kuwa DC kinondoni, kisha Jpm akampa uRC, je Jpm nae aliteua vipenzi wa JK!??

unataka Raisi akamchukue dereva bodaboda ndio ampe ukatibu mkuu kiongozi au wadhifa wowote mkubwa???

Nafasi ya uraisi si sawa na ukocha wa mpira kwamba unaweza ukapewa timu leo ukafukuza wachezaji wote kisha ukasajili wapya kabisa

Jaribu kuwa mtu mwenye fikra pana kidogo ktk kutafakari mambo
 
Mbinga mbona mbali alikua mkurugenzi wa halmashauriya kinondoni,alipambana sana na genge la kina londa na mdogo wake Regina lowassa,baada lowassa akapendekeza aondolewe pale,akapelekwa kuwa RAS sijui mkoa gani nimesahau
Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…