Mkuu rombo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,556
- 422
Sisi ni askari wajeshi la polisi nchini Tanzania, tunaomba Mh.Rais Jakaya Kikwete amuondoshe madarakani,mkuu wa jeshi letu Inspekta Jenarali IGP Saidi mwema katika uongozi wa jeshi la polisi.
kusema kweli tunashindwa kumwelewa Mh.Rais Kikwete kwa uamuzi wake wa kumwongezea mkataba Afande saidi mwema na wenzake wakati askari wa kufanya kazi zao wapo weng.
kwa kifupi Afande Mwema nakamanda wa polisi kamanda wamemaliza muda wao wa utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria
lakini pia sisi tumewachoka na hata matukiomengi yanayoshuhudiwa sasa ni kutokana na sisi kukata tamaa kutokana na uongozi tusioukubaliwa maafande hao wakuu na kusababisha heshima ya jeshi la polisi kushuka
Wakatimatokeo ya ujambazi yaliozidi chini ya uongozi wa sIGP mstaafu OMARI MAHITA ilibidi aondoke muda wake ulipotimu na hapoa ndipo jeshi la polisi likajipanga upya,na sasa ni wakati wa IGP Mwema na wenzake kuondoka ili watoe nafasi kwa wengine.
polisi tulio wengi tumekatishwa tamaa na uamuzi wa kuongezea mikataba maafande waliostaafu wakati wengine wakufanya kazi zao kwa tija wapo.
Tazama makao makuu, utaona maafisa zaidi ya wanane ni wastaafu na hakuna majukumu mazito wanayofanya
tupo zaidi ya askari 40000 inamaana Mh Rais Kikwete hana imani na sisi wote mpaka awanganganie mwema na kova
Raisi akumbuke alipoingia madarakani hali ya ya usalama ilivyokuwa na afananishe na hali ya sasa
Tunamwuomba atoe uamuzi mgumu na busara kwa kuwaondowa wastaafu wasiona umuhimu kama mwema na kova
na kama rais kikwete atashindwa kuwaondoa kina kova na mwema basi tunawuoman mwema achukuwe uwamuzi wa busara kuondoka na kizazi chake cha ANALOJIA tunataka wa kutuingiza DIJITALI
sisi
ni askari wa jeshi
la polisi Tanzania
aiseee babayangu source MAWIO 27.06.2013 hadi mkuu rombo limetufikia
tujadili wanajanvi