Rais Jakaya Kikwete na Rais Uhuru Kenyatta wakiwa Arusha...

Rais Jakaya Kikwete na Rais Uhuru Kenyatta wakiwa Arusha...

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
562463_632654526750075_1051078637_n.jpg
 
Ugeni wa mambo ilitakiwa mwenyeji na mzoefu ajishushe amwelekeze Uhuru K kwamba red carpet ni yake,lkn kwa kutokujali yeye anaendelea tu kukamua kwenye red carpet
 
Yuko nje ya capet kwa sababu alikuwa akiwasabahi walikuja kumpokea
 
UHURU alikuwa ameshapewa kitu cha Arusha,hapo anaisi yuko kiambuu kwao hata protokali hajali tena.
 
Kwani wewe hujui kama Uhuru ni mlevi......
hata kama ni mlevi kwani umemuona amelewa wakati wa kazi?
au umeshashuhudia ameshindwa kutekeleza wajibu wake kwa sababu ya ulevi?
ulevi sio hoja bora afanye kile wanachotaka wakenya
 
Muacheni Rais wa Kenya 'Kijana'atekeleze Manifesto ya Jubilee!
 
Mimi namuona mwenyeji anatembelea katikati ya red carpet na hivyo mgeni kama vile kakosa nafasi ikabidi atembee nje ya red carpet.

Mimi pia nimeona hivyo maana ni kama vile Uhuru hakutaka kumwacha my wife wake nje ya carpet kwani kitendo cha mwenyeji kutembea katikati ya carpet wengine wawili wasingetosha kwenye carpet so Uhuru akaona isiwe tabu. Paka mweusi kaona tofauti na kuyashambulia maisha binafi ya Uhuru.
 
Back
Top Bottom