Rais Joe Biden ashauriwa na Daktari Bingwa wa Marais kuonesha vielelezo vya Afya Njema

Rais Joe Biden ashauriwa na Daktari Bingwa wa Marais kuonesha vielelezo vya Afya Njema

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Hii ni kufuatia wananchi kuonesha shaka kuhusu afya ya Rais wao aliyepo madarakani kuonesha ana changamoto kubwa ya kumbukumbu.

Na sasa pia daktari bingwa Ronny Jackson aliyewahi kuwa daktari binafsi wa marais Barack Obama na Donald Trump walipokuwa madarakani, kuona ni muhimu Rais Joe Biden akaafiki kuchunguzwa afya yake kwani shaka ya wananchi inaonekana kuwa sahihi ili kuondoa utata.

Ronny Jackson barua yake iliyosainiwa na wajumbe 13 wa Baraza la Congress imemtaka Rais Joe Biden kukubali zoezi hilo la kitibabu kukagua afya yake na kukumbushia Rais Donald Trump aliwahi kushauriwa hivyo na kukubali kufanyiwa vipimo baada ya kelele nyingi za raia kutaka kufanya hivyo.

Na majibu ya vipimo vya Rais Donald Trump kurejea vikionesha utimamu mzuri wa afya ya mwili na akili hivyo kusambaratisha kelele zilizokuwa zinatia shaka afya ya Rais aliyekuwapo madarakani.

18 Jun 2021

Trump and Obama’s former physician writes to President Biden urging him to submit a ‘cognitive test’


Congressman Ronny Jackson – the former physician to both Barack Obama and Donald Trump – has written to Joe Biden urging the president to submit a cognitive test to “document and demonstrate sound mental abilities”.

“The American people should have absolute confidence in their president,” he writes. “They deserve full transparency on the mental capabilities of their highest elected leader.

“To achieve this, we urge you to submit to a cognitive test immediately."

The letter details examples of President Biden's “mental decline” and “forgetfulness” which range from forgetting the name of the Pentagon to mixing up a phrase in the Declaration of Independence.

Congressman Jackson points out that President Biden did agree to do a cognitive test while campaigning last year and that Donald Trump “excelled” in his test after politicians and the media “clamoured” for him to sit one.

The letter encourages Joe Biden to follow in Donald Trump’s footsteps. "We encourage you to follow the example set by President Trump, by undergoing a cognitive test as soon as possible and immediately making the results available for the American people." The letter was signed by 13 other members of Congress.
Source : Sky news Australia
 
Duuh wamemkamata Mzee sababu kwenye Cognitive test hawezi tusua.Amekuwa ni mtu wa kupoteza sana kumbukumbu.
 
Duuh wamemkamata Mzee sababu kwenye Cognitive test hawezi tusua.Amekuwa ni mtu wa kupoteza sana kumbukumbu.
Wamemficha vya kutosha sasa.Rais gani hawezi kufanya one on one press conference kwa dk hata 15 bila kusoma sehemu??.
 
Back
Top Bottom