Rais Kagame afanya mabadiliko makubwa ya uteuzi wa Magavana wa Majimbo nchini Rwanda

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Rais Kagame amefanya mabadiliko hayo kwa mujibu wa mamlaka aliyokabidhiwa na Katiba ya nchi hiyo.

Wapo waliotumbuliwa na wapo waliohamishwa.

Orodha kamili imeambatanishwa kwa ufafanuzi zaidi


 
Hehe majimbo......nchi yenyewe ni kama kajimbo halafu ina majimbo tena
 
Vipi tena mabadiliko ya ghafla bwana kagame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…