Rais Kagame akataa nchi yake kupokea Wakimbizi wa DR Congo

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Rais Paul Kagame amesema Nchi yake haiko tayari kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro kwa maelezo kuwa hilo sio tatizo la Rwanda hivyo hawezi kubeba mzigo usi wake.

Kagame amesema chanzo cha mgogoro wa DRC na Rwanda ni mabaki ya vikosi vya Wahutu wenye itikadi kali ambao walijaribu kuliangamiza kabila lake la Kitutsi katika mauaji ya kimbari ya 1994.

Kwa miaka mingi Rwanda imekuwa ikishutumiwa kwa kuunga mkono kundi la waasi la M23 ambalo limeteka maeneo mengi katika ardhi ya Congo, na kusababisha maelfu ya wakimbizi kukimbilia Rwanda.

================

Rwandan President Paul Kagame says his country will no longer offer refuge to people fleeing conflict in the Democratic Republic of Congo.

Decades of instability in the east of the country have forced scores of refugees across the border into Rwanda.

"This is not Rwanda's problem," said Mr Kagame, adding: "I am refusing that Rwanda should carry this burden."

He said the rest of the world had completely missed the point when it came to eastern DR Congo.

The real threat to security - in his view - is what he describes as the remnants of Hutu extremist forces who tried to wipe out his Tutsi ethnic group in the 1994 genocide.

Rwanda is being accused of backing the M23 rebel group - which the country has always denied.

The rebel group has captured swathes of territory in recent months, sending tens of thousands of refugees across the border into Rwanda.

BBC
 
Wanajeshi waliokua chini ya Habriymana na wale intarehamwe wengi wameshakufa ila Kagame ana chuki mpaka kwa watoto wao!!!!Jibu ni rahisi kua Watusi hawawezi kuishi pamoja na Wahutu!!!

Nani ampishe mwenzake rwanda.

Maana watutsi ndio wanatawala ila wapo wachache. Wahutu watawaliwa ndio majority 80% ya population ya Rwanda ni wahutu
 
Ana chuki sana huyu jamaa,nina mashaka atakapotoka madarakani sijui kama hiyo inchi itatawalika,maana najua lazima kuna wahutu wengi wameshamchoka ila hawana jinsi kwakuwa jamaa bado yuko madarakani...
 
Ila kakubali kuchukua wakimbizi kutoka UK Kagame ni kiboko ana sababu hazina mashiko kabisa...
Inawezekana lengo lake kutaka wakimbizi wa nje ya Afrika ni kutaka kuwachanganya na wanyaruanda ili kupanua uelewa wa watu wake..
 
Awakubalie wakongo waje kumf££R@# Rwanda. Maana mamluki wanaweza pitia mlango huo huo
 
Rais Paul Kagame amesema Nchi yake haiko tayari kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro kwa maelezo kuwa hilo sio tatizo la Rwanda hivyo hawezi kubeba mzigo usi wake.

Kagame amesema chanzo cha mgogoro wa DRC na Rwanda ni mabaki ya vikosi vya Wahutu wenye itikadi kali ambao walijaribu kuliangamiza kabila lake la Kitutsi katika mauaji ya kimbari ya 1994.

Kwa miaka mingi Rwanda imekuwa ikishutumiwa kwa kuunga mkono kundi la waasi la M23 ambalo limeteka maeneo mengi katika ardhi ya Congo, na kusababisha maelfu ya wakimbizi kukimbilia Rwanda.

================

Rwandan President Paul Kagame says his country will no longer offer refuge to people fleeing conflict in the Democratic Republic of Congo.

Decades of instability in the east of the country have forced scores of refugees across the border into Rwanda.

"This is not Rwanda's problem," said Mr Kagame, adding: "I am refusing that Rwanda should carry this burden."

He said the rest of the world had completely missed the point when it came to eastern DR Congo.

The real threat to security - in his view - is what he describes as the remnants of Hutu extremist forces who tried to wipe out his Tutsi ethnic group in the 1994 genocide.

Rwanda is being accused of backing the M23 rebel group - which the country has always denied.

The rebel group has captured swathes of territory in recent months, sending tens of thousands of refugees across the border into Rwanda.

BBC
Kagame is ready to accept afghan refugees from UK because he will be compensated but not fellow Africans from DRC! Africa shall never see the light of day! Slave mentality
 
Rais Paul Kagame amesema Nchi yake haiko tayari kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro kwa maelezo kuwa hilo sio tatizo la Rwanda hivyo hawezi kubeba mzigo usi wake.

Kagame amesema chanzo cha mgogoro wa DRC na Rwanda ni mabaki ya vikosi vya Wahutu wenye itikadi kali ambao walijaribu kuliangamiza kabila lake la Kitutsi katika mauaji ya kimbari ya 1994.

Kwa miaka mingi Rwanda imekuwa ikishutumiwa kwa kuunga mkono kundi la waasi la M23 ambalo limeteka maeneo mengi katika ardhi ya Congo, na kusababisha maelfu ya wakimbizi kukimbilia Rwanda.

================

Rwandan President Paul Kagame says his country will no longer offer refuge to people fleeing conflict in the Democratic Republic of Congo.

Decades of instability in the east of the country have forced scores of refugees across the border into Rwanda.

"This is not Rwanda's problem," said Mr Kagame, adding: "I am refusing that Rwanda should carry this burden."

He said the rest of the world had completely missed the point when it came to eastern DR Congo.

The real threat to security - in his view - is what he describes as the remnants of Hutu extremist forces who tried to wipe out his Tutsi ethnic group in the 1994 genocide.

Rwanda is being accused of backing the M23 rebel group - which the country has always denied.

The rebel group has captured swathes of territory in recent months, sending tens of thousands of refugees across the border into Rwanda.

BBC
Ila anawachukua wakimbizi wa wapi vile? Je wale ni tatizo lake?
 
Hii lugha ya " wale ni wahutu wenye msimamo mkali waliotaka kuwahangamiza watutsi wangu" ni ya kibaguzi sana kwa mtawala kama yeye mpaka leo yaonekana reconciliation alizokuwa anafanya ni uongo bado anawaona wahutu maadui zao watutsi, hili ni bomu linalongojea kuripuka muda wowote.
 
Mtutsi Kagame anataka wakimbizi wenye hela tu kutoka, Uingereza na Afghanistan ila hataki wakimbizi masikini kutoka Kongo. Kibaya zaidi, ni kwamba mtu ambaye anataa wakimbizi nchini kwake yeye mwenyewe alishawahi kuwa mkimbizi nchini Uganda na kupewa hifadhi hadi kuja kuwa mtu mashughuli duniani.
 
Back
Top Bottom