Kazi tunayo bwana wee
Unawekeza kwa timu ambayo miaka zaidi ya nane iko nje ya top six utakua umeongozwa na mapenzi.Mkaldayo mwambie Kagame hela hiyo bora angetupa Liverpool tungeitangaza Rwanda vizuri. Tatizo lake anakuwa kama amateur anawekeza kishabiki.