Rais Kagame kanifurahisha na points zake

Rais Kagame kanifurahisha na points zake

Bongo tuna bahati mbaya sana kwenye uongozi wa juu.
 
Nimeshindwa kuungana nawe Maana bando la kuangalia hiyo video sina... siku ingine tufikirie nasi uwe unaandaki kile unachotamani tusshiriki na unaweka video kama chanzo Cha taarifa kwa wenye kuhitaji
 
Nimeshindwa kuungana nawe Maana bando la kuangalia hiyo video sina... siku ingine tufikirie nasi uwe unaandaki kile unachotamani tusshiriki na unaweka video kama chanzo Cha taarifa kwa wenye kuhitaji
Nichangie pesa
 
Muzungu kijasho kimemtoka, hakutegemea criticism ya namna hiyo! Kwa kifupi kaongezea elimu ambayo hakuizingatia kabla! Sema dingii kachafukwa, jeuri kwerikweri, hoja za kiwestern zimemkera kana kwama anataka kutapika the forced presented rubish!😁
 
Bongo tuna bahati mbaya sana kwenye uongozi wa juu.
Umezowea kuishi na kutawaliwa kimazowea, kupelekeshwa ki kondoo.

Mama Sqmia ni Rais ambae hana mfanowe, ana maono ya.mbali swna na anafanya kazi zake kwa umahiri mkubwa sana.

Back
Top Bottom