fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
Tumuulize Lukuvi ambaye anasema rais aliongeza watu 35 kwenye ujumbe wa bunge la katiba wakati bajeti haina hao watu, je pesa hizo rais atawalipa kwa pesa zake??? kama ni zetu zile zile sasa hao 35 amewaongeza kwa shughuli gani?? Anapongezwa na LUKUVI kwa lipi? kuongeza gharaha kinyume cha bajeti??? katika mazingira aya hao 35 watalipwa kama wale wengine??? je bajeti ni shilling ngapi? na kila mjumbe atalipwa shilling ngapi??? je hilo ni siri?? au ni haki yetu kujua. Nawasilisha kwa kuomba ufafanuzi wenu wanaJF ambao ni makini sana