fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
katika watu wa ajabu ni lukuvi,isimani hakuna maji yeye anapiga polojo bungeni....
katika watu wa ajabu ni lukuvi,isimani hakuna maji yeye anapiga polojo bungeni....
Mkuu tabia hii ya ajabu ni ya lema.katika watu wa ajabu ni lukuvi,isimani hakuna maji yeye anapiga polojo bungeni....
CCM ina vijana wenye very
poor reasoning .....mjadala mzuri lakn lema lema....hivi hamwezi
kutuliza akili na kujadili mambo ya kitaifa kama haya....mtafikiri mna
FUNZA kichwani,,,simiyu whats problem with ur head....msalani mna tatizo
gani ninyi...?
Lema anakunyima usingizi,naona unamtaka kwa nguvu zote.Kama LEMA anavyolilia Posho huku jimboni kwake hajatimiza hata ahadi moja!
kodi zetu wana nchi zitawalipaTumuulize Lukuvi ambaye anasema rais aliongeza watu 35 kwenye ujumbe wa bunge la katiba wakati bajeti haina hao watu, je pesa hizo rais atawalipa kwa pesa zake??? kama ni zetu zile zile sasa hao 35 amewaongeza kwa shughuli gani?? Anapongezwa na LUKUVI kwa lipi? kuongeza gharaha kinyume cha bajeti??? katika mazingira aya hao 35 watalipwa kama wale wengine??? je bajeti ni shilling ngapi? na kila mjumbe atalipwa shilling ngapi??? je hilo ni siri?? au ni haki yetu kujua. Nawasilisha kwa kuomba ufafanuzi wenu wanaJF ambao ni makini sana
Kama LEMA anavyolilia Posho huku jimboni kwake hajatimiza hata ahadi moja!
Lema anastahili kulaaniwa na kila mmoja wetu kutokana na tabia yake na matendo yake mabaya
Tumuulize Lukuvi ambaye anasema rais aliongeza watu 35 kwenye ujumbe wa bunge la katiba wakati bajeti haina hao watu, je pesa hizo rais atawalipa kwa pesa zake??? kama ni zetu zile zile sasa hao 35 amewaongeza kwa shughuli gani?? Anapongezwa na LUKUVI kwa lipi? kuongeza gharaha kinyume cha bajeti??? katika mazingira aya hao 35 watalipwa kama wale wengine??? je bajeti ni shilling ngapi? na kila mjumbe atalipwa shilling ngapi??? je hilo ni siri?? au ni haki yetu kujua. Nawasilisha kwa kuomba ufafanuzi wenu wanaJF ambao ni makini sana
umemsahau mh. Komba na said Nkumba mkuu!Mkuu tabia hii ya ajabu ni ya lema.
Unauliza nani atawalipa, kwani unajua hao wengine nani atawalipa?