Mh tunaomba ukifika mkoa wa Tabora omba viongozi wakuambie tangu shule zifunguliwe wametatuaje changa moto ya upungufu wa madawati na vyumba vya madarasa wakikudanganya siye tutasema ukweli,
Ni ajabu na aibu sana mkoa ambao una gereza kubwa uyui, una miti mingi ya asili ya mbao watoto bado wanakaa chini na hakuna jitihada zozote zinazofanyika zaidi ya usanii usanii tu.