Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hili swala la Kiingereza naona umelishikia bango kinoma! Anyway I'll write in english when is needed! So far threads zote ninazo changia zipo kwa kiswahili..😀
Tembelea blog yangu...zipo mada kadhaa kwa kiingereza...Usisahau kuwa na dictionary 😀Wewe sema ukweli tu. Lugha haipandi. Huwezi kuandika zaidi ya aya tatu kwa kiingereza tu. Unabisha? Na ndio maana mada zote unazochangia ni za kiswahili....heheheheheeee
Tembelea blog yangu...zipo mada kadhaa kwa kiingereza...Usisahau kuwa na dictionary 😀
Asalamu alaykum.
kilichofanyika jana ni gharide la heshima ambalo halijaanza kwa Rais Karume huyu tu tokea miaka ya nyuma kabla ya Rais wa kwanza Abeid Karume mwenyewe na hilo hata Mwalimu Nyerere ameshawahi kuhudhuria sherehe za Eid mara kadhaa na kupokea gharide la heshima kama alivyopokea Rais Karume jana infact sio kitu cha ajabu kwa zanzibar wala sio kitu cha kushangaza ni jambo la kawaida kutokana na mazingira ya hapa kwetu.
Aleykhum Salam Stone Town!
Habri ya Zenji Mkuu?
Asante sana kwa ufafanuzi wako wa kina katika hili. Naanza kupata Mwanga ingawa Mantiki yake bado sijaiona zaidi ya "Mazoea na Heshima" katika Sikukuu ya Idd.
Pamoja na kuwa hili ni suala la kimazoea kwa Zanzibar kama ulivyosema, je unao mfano wowote wa nchi za kiislamu au kikristu ambao hufanya gwaride la heshima wakati wa sikukuu za kidini?
Kiongozi;
CIA World Fact Book ya 2008 ina facts hizi juu ya Tanzania:
Population: 40,213,160
Religions:
mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim.
Mimi sina uhakika na Souces za Data hizo.
Hata hivyo bado napata tabu ya kujua mantiki ya Gwaride katika sherehe za kidini.
Khe yaani nyinyi huyo Mtangazaji Bom ndiyo anakushughulisheni katika mjadala. Hakuna Gwaride la Idd. Kuna Gwaride la|Heshima (guard of honour) This can mounted by the gallant forces to their Comander in chief ( his representatives) any where any time inapoonekana inafaa kutolewa heshima hiyo.Source ya data hizi za CIA nadhani ni satelite survailence, wanajua wamarekani walikozipata. Lakini inafurahisha sana kusikia Gwaride la Idd, sijui ni jeshi lipi lililocheza kwata hizo za idd, we have to explore possibilities za Gwaride kwa ajili ya waumini wa dini nyingine. Tanzania kila kitu kinawezekana.
Soma hapa chini maneno ya Sabri...
Je waweza kutuelimisha mantiki yake ni nini? Naona swali sijibiwi au sijawaelewa?
Mara nyingi gwaride hili hufanywa na kikosi cha FFU wakiwa kwenye zile kofia zao kama wachungaji wa ng'ombeKhe yaani nyinyi huyo Mtangazaji Bom ndiyo anakushughulisheni katika mjadala. Hakuna Gwaride la Idd. Kuna Gwaride la|Heshima (guard of honour) This can mounted by the gallant forces to their Comander in chief ( his representatives) any where any time inapoonekana inafaa kutolewa heshima hiyo.
Soma hapa chini maneno ya Sabri...
Mara nyingi gwaride hili hufanywa na kikosi cha FFU wakiwa kwenye zile kofia zao kama wachungaji wa ng'ombe
Asalaam Aleykhum Viongozi;
Nimesikia na kuona katika Taarifa ya Habari ya ITV (very briefly) leo usiku Rais Karume amekagua gwaride la Idd. Niliona gadi moja ya vijana wetu wa kazi FFU.
Hii imekaaje?
Naomba mnisaidie kujua mantiki ya Gwaride katika sherehe za kidini.
You are pathetic....Raisi Karume hana kazi za kutosha ndio maana anao muda wa kukagua hata magwaride yasiyoeleweka yasiyo na kichwa wala miguu.
Pia hao askari nao waliopiga hilo gwaride nadhani nao hawana kazi za kutosha za kufanya au hawakuwa na hela za kutosha kusherehekea iddi wakaona waende kupiga gwaride lisilokuwa na kichwa wala miguu angalau wapate pilau ya bure baada ya gwaride.
Na wanajeshi nao mnapoambiwa muwe na utii si maana yake kuwa mtumiwe kupiga gwaride kwenye pilau za Iddi za watu ili kujikomba kwa waliopika pilau.That is beyond military norms.Bunge labda lihoji maana ya gwaride kwenye eneo la usawa wa gudulia la pilau siku ya Idd.
Wewe sema ukweli tu. Lugha haipandi. Huwezi kuandika zaidi ya aya tatu kwa kiingereza tu. Unabisha? Na ndio maana mada zote unazochangia ni za kiswahili....heheheheheeee