Rais Kenyata afuata nyayo za Dr Magufuli awakumbuka wanyonge na kulikataa pendekezo la bunge!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais U huru Kenyatta wa Kenya amekataa kusaini sheria ya bajeti iliyopendekeza uwepo wa Kodi ya Vat kwa mafuta kwa kiwango cha 16%. Na badala take Kenyatta amepeleka muswada wa punguzo la kodi hiyo kufikia 8%. Hii yote ni katika kuwapunguzia gharama za maisha wananchi wanyonge kama afanyavyo Rais wetu mpendwa Dr Magufuli. Source Citizen TV!
 

Hehehe...huelewi unachosema. Ingekuwa vyema ikiwa ungeuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…