Rais Kenyatta aacha kutumia Twitter kutokana na matusi ya wachangiaji

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais Uhuru Kenyatta ambaye anatajwa kuwa mkenya mwenye ‘followers’ wengi katika mtandao wa twitter ameifunga akaunti yake ya twitter kwa zaidi ya mwaka

Amesema taarifa za nchi zitashughulikiwa na Akaunti Rasmi za Ikulu. Amesema amechana na mitandao kutokana na matusi ya wachangiaji

Amesema ‘ni matusi tu hakuna kitu inaendelea huko. Unakaa hapo unasoma, hulali. Afadhali nipige stori na mama, nilale, niamke, niende kazi na dunia iendelee’

Hata hivyo Makamu wake, Dkt. William Ruto ameendelea kuwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii na kujibu mambo yote yanayomuhusu mitandaoni

==

President Uhuru Kenyatta has not been active on social media for over a year now.

He deactivated his personal Twitter and Facebook accounts in March 2019, leaving official communication from the Presidency to be disseminated through official State House accounts. At the time, he was the most followed Kenyan with over 3 million Twitter followers.

The Head of State has now come out to reveal he quit social media due the barrage of insulting and distasteful comments he would receive as part of feedback from online users.

Speaking at the launch of Building Bridges Initiative (BBI) signature collection drive, the President said he now prefers physical engagement as better avenue for receiving feedback, which he said has been resourceful during the ongoing push for a referendum through the BBI process.

Kenyatta described Twitter as a useless platform full of insults that would only mess up his peace of mind.

“Mimi sio mtu wa hiyo (social media). Ata Twitter niliondoka huko nikaona hii kitu ni bure ni matusi tu hakuna kitu inaendelea huko. Unakaa hapo unasoma, hulali. Afadhali nipige story na mama, nilale, niamke, niende kazi na dunia iendelee,” Kenyatta said.

In contrast, his deputy Dr. William Ruto remains strongly active, using his Twitter account to air his views and react to nearly all matters concerning him including media headlines.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya "ukosefu wa adabu" na "freedom of speech" kunya mko na ukosefu wa adabu.

Huu ndio ukweli mchungu hutaki andamana.
Freedom of speech means Freedom of speech. If you can't deal with it , don't listen and go f*** yourselves. Kenyatta couldn't deal with it. Instead of shutting down the internet ([emoji1787][emoji1787][emoji1787]bongolala) he left Twitter. Thats being a mature leader. Plus he is still on Twitter but he is using the official statehouse account.
 
Unalia nini?
Kuna tofauti kubwa kati ya "ukosefu wa adabu" na "freedom of speech" kunya mko na ukosefu wa adabu.

Huu ndio ukweli mchungu hutaki andamana.
Nachopenda ni kuwa ujumbe umesha kufikia na umeshausoma hutaki andamana.
 
ndio tatizo la kuongoza wakora[emoji23][emoji23].

inawezekana wanaomsifu ni hawa tulionao hapa jf tu.tena wanaifu wakiwa hapa hapa jf tu.
 
Uhuru wa speech, ndiyo matusi kwa uhuru.
Hivi mnajua demokrasia ya nchi inajengwa kwenye misingi ya mila na utamaduni. Kinyume cha hapo ni utovu wa nidhamu.
Kumbe hata na nyie jamaa wa VPN mnafahamu kuhusu 'Freedom of Speech'? [emoji38] Kama rais Uhuru alicatch mafeelings hilo ni tatizo lake mwenyewe. Mitandao sio yake, twitter sio yake, acha aende zake akalilie pembeni.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya "ukosefu wa adabu" na "freedom of speech" kunya mko na ukosefu wa adabu.

Huu ndio ukweli mchungu hutaki andamana.
I can see some fool here doesn't know what "Freedom of speech" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais Uhuru Kenyatta hatimaye amefichua kilichompelekea kuondoka twitter yapata miaka miwili iliyopita.

Akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa zoezi la kukusanya saini za kufanya marekebisho ya katiba (kama ilivyopendekezwa na jopo la maridhiano BBI), Kenyatta amesema twitter ni 'sehemu' ya matusi na uvumi usiojenga taifa.

"Mimi huko twitter niliondoka ! Niliona ni matusi yamejaa huko. Aaaah hapana sitaki ! Afadhali nilale ama nipige stori na mke wangu" amesema Kenyatta

Rais Kenyatta ndiye kiongozi wa bara la Afrika aliyekuwa na wafuatiliaji (followers) wengi zaidi Kabla ya kuamua kufuta akaunti yake.

Kipindi chake cha Urais kitamalizika mwaka 2022 na amekuwa katika mstari wa mbele kushinikiza marekebisho ya katiba ili 'vuta - nikuvute' ya kisiasa ambayo hushuhudiwa kila baada ya miaka mitano ikwishe.

Hatahivyo Makamu wa Rais William Ruto amegoma kukubali wazo hilo akisema mfumo uliopo ndiyo unaofaa.

Tofauti hii ya mawazo kati ya Rais na Makamu wake imepelekea hata Ruto kususia hafla ya leo ya uzinduzi wa kukusanya saini.

Haya yote yakizidi kuendelea, Kiongozi wa upinzani Raila Odinga ameonekana kuwa karibu Sana na Rais Kenyatta jambo ambalo, kwa mujibu wa wachanganuzi wa kisiasa, linamkera Makamu wa Rais William Ruto.

Sasa huenda uchaguzi Mkuu ujao wa 2022 Makamu wa Rais William Ruto 'akaingia ulingoni' dhidi ya Raila Odinga.

Baadhi ya marekebisho ya katiba yaliyopendekezwa na jopo la maridhiano BBI ni pamoja na:

• Kuwepo kwa nafasi ya Waziri Mkuu atakayeteuliwa na Rais.

• Ofisi rasmi ya upinzani kwa mgombea urais atakayeshindwa kwenye uchaguzi (ashike nafasi ya pili kwa idadi ya kura)

• Idadi ya Wabunge wa Bunge la kitaifa iongezwe mpaka 360 (watakaochaguliwa na wananchi) na 6 wa viti maalum.

• Bunge la Seneti nalo liwe na maseneta 94.

• Kila kaunti (Jimbo) limchague Mwakilishi mwanaume na mwanamke.
 
Tweeter wamejaa wahuni tupu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naungana na Kenyatta katiba hilo
Twitter mtandao wa kifara kweli kweli
Sijui kwanini iko hivyo.
 
If you can't stand the heat, get out of the kitchen!!! 😅
Yaani hii nchi tamu! Kwingine ni VPN tu nondo zikizidi!
 
Yaan hadi Kenyatta anaichukia Twitter😂😂😂😂😂eti baba wa demokrasia afrika mashariki
 
Back
Top Bottom