Nyie korogeni zege cc tunapakia mizigo usiku kuchani sheedah mazeee..πzege tunalikoroga usiku kuchaa...View attachment 1224712View attachment 1224713View attachment 1224714View attachment 1224715
aliye na mipicha ya bagamoyo mega port jamani atupiamo humu jamani na ss tuonee!πππ
Baada ya Bandari ya Beira kuoshwa na mafuriko Malawi wamerudi Dar port 100% ila upanuzi huu na ujenzi wa mabarabara Mtwara corridor ni mpango wa Malawi na Zambia na South n Eastern DRC kusogezewa Bandari!ππππ Hiki kimwalo mnasema bonge la bandari? 3 berths?
Mtwara ni kubwa kuizidi na inakula mzigo wa korosho hatari kwa sasa huku upanuzi ukiendelea View attachment 1224761View attachment 1224762View attachment 1224763View attachment 1224764
Na kasi ya kuwaunganisha na bandari zetu imepamba motoBaada ya Bandari ya Beira kuoshwa na mafuriko Malawi wamerudi Dar port 100% ila upanuzi huu na ujenzi wa mabarabara Mtwara corridor ni mpango wa Malawi na Zambia na South n Eastern DRC kusogezewa Bandari!
Kweli msafara wa mamba kenge hakosi, wewe umeambiwa mradi umesimama na bado unaudai una hisa nini πaliye na mipicha ya bagamoyo mega port jamani atupiamo humu jamani na ss tuonee!πππ
aliye na mipicha ya bagamoyo mega port jamani atupiamo humu jamani na ss tuonee!πππ
Una picha za Magufuli akizuru/kuzindua Bagamoyo Port?Na kasi ya kuwaunganisha na bandari zetu imepamba moto
Mtwara Port kutoka juu ππππππππ Hiki kimwalo mnasema bonge la bandari? 3 berths?
Mtwara ni kubwa kuizidi na inakula mzigo wa korosho hatari kwa sasa huku upanuzi ukiendelea View attachment 1224761View attachment 1224762View attachment 1224763View attachment 1224764
Yafanana na duka la samakiπ³Mtwara Port kutoka juu ππππView attachment 1227737
Hiyo Bandari hata JPM aitake leo, China wanaingia site mara moja, Tanzania ndio imesitisha mradiUna picha za Magufuli akizuru/kuzindua Bagamoyo Port?
View attachment 1227734View attachment 1227735
Hapana potea mada...Mtwara π€£π€£π€£Hiyo Bandari hata JPM aitake leo, China wanaingia site mara moja, Tanzania ndio imesitisha mradi
Hahaha hiyo ni picture ya 70s leta ya leoHapana potea mada...Mtwara π€£π€£π€£
View attachment 1227749
Hamna tofauti size Ni Ile ileHahaha hiyo ni picture ya 70s leta ya leo
Hii ni picture ya 2004 rehabilitation, πππView attachment 1227759