Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amuomba Mbunge wa Nyeri Mjini kuyaondoa maombi yake ya kutaka Jaji Mkuu David Maraga ang'olewe katika nafasi hiyo.
Kufuatia ombi hilo Mbunge huyo wa Nyeri Mjini, Ngunjiri Wambugu amekubali ombi la Rais Kenyatta na kuahidi kuondoa ombi la kuondolewa kwa Jaji Mkuu