Rais Kenyatta Aruhusu Maandamano ya Kumpinga

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Je, huyu Wa kwetu ambaye hataki hata wapinzaniwaendeshe mikutano analiweza hili? Kweli ndio maana alikuwa namsapoti Odinga maana hawaendani na Kenyatta
 
....mungu wa daudi ndio mungu wa joni ambae nyie mnamuitaka yohana......
Zimbabwe si lele bibi.
 
Yaani mnasema huyu Rais Magufuli yeye utawala wake autocratic?
 
Hakuna kuruhusu ni sanaa tu, watoto na watu wasio na hatia wanauwawa wakiwa ndani ya nyumba zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…