Rais Kenyatta aruhusu Watanzania kuanza kufanya kazi na biashara Kenya bila kuwa na Work Permit wala Business visa

Wacha kudanganya watu wewe.
Lini umeenda uhamiaji kutaka pasipoti ya kwenda east Afrika ukaambiwa lete barua ya mwaliko?
unaongelea kile kikaratasi cha mwezi mmoja au ile passprt kubwa?
 
not that high. its just sis hatutaki ku think out of box. tunafungia fikra zetu ndani wkt wao wakiopen fikra zao

Tutafurwa tukiruhusu wakenya waje bongo I’m telling you , wakenya wako sharp sana wale
 
unaongelea kile kikaratasi cha mwezi mmoja au ile passprt kubwa?
Sasa kama wewe unafanya biashara ya mazao kati ya Tanzania na Kenya hicho kinakutosha na wala husumbuliwi mpakani
 
Tutafurwa tukiruhusu wakenya waje bongo I’m telling you , wakenya wako sharp sana wale
Waje tu si wanakuja na pesa zao hakuna shida sisi tunaambiwa njooni kenya mfanye kazi au biashara watu wanavuta miguu
 
Hili ni somo gumu sana watanzania kuelewa. Wanajua dawa ni kujifungia tu humu na ufukara wetu
Waache tu waendelee na majungu yao huku watu wanachangamkia fursa.
Hongera zao viongozi wa Kenya na Tanzania.
 
Sasa kama wewe unafanya biashara ya mazao kati ya Tanzania na Kenya hicho kinakutosha na wala husumbuliwi mpakani
Swala mtu unataka kuhamia kuweka biashara za kudumu kule siongelei umachinga wa kwenda safari moja moja na kurudi
 
Nimeona twitter na youtube wakenya wanalalamika rais katoa go ahead kwa watanzania kwenda kufanya kazi bila work permit but Rais Samiah hajasema hivyo kwa wakenya waje tu bongo 😀
 
Sasa wewe nani kakukataza usiwe sharp?

Nimesoma Tanzania, kenya, German ... nawajua vizuri ndugu zangu wengi kichwani ni zero , Yan mtu mwenyewe degree Tz ni sawa na mtu amemaliza secondary Kenya , so calculate apo uone ni nini kitatokea
 
Swala mtu unataka kuhamia kuweka biashara za kudumu kule siongelei umachinga wa kwenda safari moja moja na kurudi
Nahizo ndiyo biashara inafanyika sana ya kwenda na kurudi .
Kama hakuna ubabaishaji ni biashara inalipa na watu wanajipatia kipato.
 
Nimeona twitter na youtube wakenya wanalalamika rais katoa go ahead kwa watanzania kwenda kufanya kazi bila work permit but Rais Samiah hajasema hivyo kwa wakenya waje tu bongo [emoji3]
Yeah ndiyo kama nilivyomwelewesha mwamba pale juu
 
Nimesoma Tanzania, kenya, German ... nawajua vizuri ndugu zangu wengi kichwani ni zero , Yan mtu mwenyewe degree Tz ni sawa na mtu amemaliza secondary Kenya , so calculate apo uone ni nini kitatokea
Ukiijua biashara unayo ifanya haiitaji kuwa na degree wala diploma .
 

Kenya ni Giants wa Viwanda na Biashara

kwnye ulimwengu wa boxing huwezi mchukua Heavy weight ukampambanisha na lightweight. lazma umlinde huyu dhaifu hadi atakapo komaa ndio uwapambanishe..

katika kujibu swali lako, sio kwakua tulikosea basi tuendelee kukosea. Wanachokitaka Kenya ni sisi kuwa soko kwao, sio ushindani, maana hatuna products za kuuza kwao.

Sipingi kwamba tusiwape free permit kama walivyoomba, ila kabla hatujawapa lazmma tuniandae na kutengeneza sera za kuwalinda wafanyabiashr, wafanyakzi na viwanda vyetu dhidi yao.

hilo tu
 
Jiwe aliharibu kila sehemu na wafuasi wake kama wewe mkawa mnashangila kama vile makasuku tu.
Wewe muuza madawa utamuota sana Jiwe mpaka uingie kaburini alivyokufanya hutamsahau. Lakini sahau kurudi kwenye biashara hiyo ya madawa. Kuhusu Kenya wewe akili kichwani huna. Unafikiri wewe utaweza kwenda kufanyakazi Kenya bila vikwazo nchi ya kibaguzi hivyo utakwenda kufanyakazi kwenye Kampuni ya Mkenya!! Labda iwe International Organization!! Wengine tumefanyakazi huko kwenye International Org. tunapajua fika jinsi walivyowabaguzi.
 
Roho mbaya yenu ndio inafanya kampuni za Tanzania ziwe chache,imagine mtu ana usd 130 mln anataka kuwekeza kwenu lakini hamtaki eti sababu tu ni Mtanzania,unadhani jamaa angecreate ajira ngapi kwa wakenya!rostam ana makampuni south africa,uk,dubai lkn kenya hapo pamekua pagumu!
 
Ukiijua biashara unayo ifanya haiitaji kuwa na degree wala diploma .

Ni kweli, lakini Elimu inakusaidia kuwa na wigo mpana , to think out of the box , kuwa creative pia unakua unajiamini na biashara yako kwq kuwa unaelewa protocols nzima za masoko na nini kufanya kusogea mbele kibiashara
 
UWOGA WAKO NDIO UMASIKINI WAKO.
utajifungia kwenye BOKSI mpaka lini?!!

Ndugu zangu acheni uwoga wa kizamani, changamkieni fursa, punguzeni maneno maneno tufanye kazi kwa bidii, biashara sasa zipo wazi,.
 
WaTz kupata kazi kenya sio rahisi, wao wenyewe washaanza kukuimbia makwao kama wanaigeria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…