Kwahiyo hiyo Ngoma ndio Sindimbaš Huu Mwambao wa Afrika ya Mashariki umeingiliana sana kama sikosei Wamakonde walisambaa wakati wa Dola ya Kilwa ilipokuwa na nguvu hadi hadi ikaitishia Mogadishu huu muingiliano ni wa enzi na enzi na tuuenzi kuliko kubaguana.Wamakonde nao Kenya waomba watambuliwe kama raia wa Kenya
Tayari tumesha-reciprocate kwa kauli "Wema hulipwa kwa weme"! Kauli hii imetoa mwanya!!Anatutega ili na sisi tureciprocate hii kitu. Tusikubali huu mtego
Kwa kifupi ni kwamba tunakubali wakenya wako juu??Hamna ubaya ila wakenya wakijazana tigo, voda na airtel wakaja TPB, NMB na CRDB wadogo zenu wote watakuwa wauza kashata na kutembeza kahawa! Msije kuanza kulia lia tu wakenya wamezidi
Ngoja mtakavyoingia mkenge kwa Kenya, hilo ni bomu Kenyatta kategesha. Ni Watanzania wangapi wanaweza kufanya kazi Kenya?Bora Uhuru ni binadamu sana na kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea Africa, shida walishindwa na Dikteta, mama kaona atakuwa Mwalimu mzuri sana
Wengi tu wachaga, wamasai, wakurya wamejaa huko wa kutoshaNgoja mtakavyoingia mkenge kwa Kenya, hilo ni bomu Kenyatta kategesha. Ni Watanzania wangapi wanaweza kufanya kazi Kenya?
Tunaposema kabila fulani ni malaya, tuna maanisha ni wote ? Acha ufala basiSema baadhi sio wote ulikutana na wakenya wote wapi? ukawajua wote wana roho mbayal