Pistol
Senior Member
- Oct 13, 2015
- 194
- 86
Rais Uhuru Kenyatta ametangaza rushwa kama tishio kwa usalama wa taifa nchini Kenya na kuamuru makampuni kusaini mkataba wa maadili uliopitishwa jinsi ya kufanya biashara na serikali.
Serikali ya Uhuru ambayo inakaribia miaka mitatu sasa inakabiliwa na shutuma za kushindwa kuchukua maamuzi kukabiliana na ufisadi nchini Kenya. Kenya inashikilia nafasi ya 145 kati ya nchi 174 juu ya uwazi na ufisadi duniani.
Hatua zitazochukulia ni pamoja na kuwachunguza maafisa wa kodi na ushuru wa forodha kwani serikali ya Kenya inaamini inawakosesha mapato mengi kwa kukumbatia rushwa ili kuwaacha watu na taasisi kutimiza majukumu yao ya kutoa kodi.