Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa kujipendekeza!
Mwambie aache kujipendekeza just the other day alizuia maize!You always seem bitter,see a psychiatrist,other wise we are here to stay,seems you have something personal against Kenya and Kenyans
Anajipendekeza kwa nani jombi?Mzee wa kujipendekeza!
Labda anamaanisha kwamba anajipendekeza kwa mwendazake.Anajipendekeza kwa nani jombi?
Labda anamaanisha kwamba anajipendekeza kwa mwendazake.
Uhuru vaa barakoa mwanangu hutapungua. Mwenzako huko Tz barakoa ilimshinda kuvaa.Rais Uhuru Kenyatta, leo ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo Nairobi kutoa heshima zake za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli
View attachment 1729986View attachment 1729987View attachment 1729988
Wabongolala nyinyi mmekua vilaza hadi hurumaMzee wa kujipendekeza!
Acha umbea, aliyekuwa mlinzi wa JPM mliyemzushia kifo mbona hata jana alikuwepo pale uwanja wa Uhuru kwenye mazishi.Full mabarakoa kwa kwenda mbele, naona hadi walinzi na wapambe wake hivyo hivyo, kuna sehemu nilisoma aliyekua mlinzi wa JPM naye pia yamemkuta kwa kushupaza shingo.
Hivi ina maana kati ya marais wote, wa kwetu tu ndiye amethubutu kwenda, sawa kiongozi wetu endelea kutuwakilisha huko maana kwa vyovyote vile, hao Watanzania tunahitajiana nao licha ya viburi vyao visivyokua na tija. Takwimu za mauzo yetu kwenda kwao zimeongezeka pakubwa, hivyo vumilia tu kiongozi wangu, sisi ni mabepari tunafanya kila kitu kwa kuzingatia diplomasia.
Acha umbea, aliyekuwa mlinzi wa JPM mliyemzushia kifo mbona hata jana alikuwepo pale uwanja wa Uhuru kwenye mazishi.
Tatizo ni kuokoteza vijistory vya mitandaoni na kutuletea huku wakati sisi ndio tuko kwenye main source.
Hebu jiulize kama ni kweli Hayati JPM aliondoka kwa Covid-19 mbona mke na watoto wote pamoja na mama yake mzazi ambaye ni mgonjwa sana for the past 3 years bado wako salama na Hawavai hizo barakoa zako.
Hivi unadhani mke wa hayati JPM jana angegudhuria msiba kuanzia kanisani na kule uwanja wa Uhuru bila barakoa kama mme wake aliondoka kwa Covid-19?
Achaga kuandika upuuzi saa kama hizi... .
hawa watu ni mazumbukuku aisee.... hebu tizama sasa wanataka kuonewa huruma kwa msiba wa kujitakiaWabongolala nyinyi mmekua vilaza hadi huruma
Sio ya leo, akiwa sadc huko, humwoni maraphosa, uyo mama havai barakoa akiwa huku, muumini mkubwa wa sera za magu, magu kamchagua awamu zote 2, haijawai kutokea, uyu atapita mule mule, yuko na vichwa behind her, she was under a docile kikwete government and was under the wings and mentorship of an aggressive strong leader. Utajua hujui.Endeleeni kujifanya shingo ngumu naona hata kwa kuaga mwili bado mnabanana bila barakoa, na ule ujuha mliaminishwa corona imetoweka Tanzania kwa maombi maana ilikua imetengenezwa kwa ajili ya kuwahujumu Watanzania kiuchumi.
Kuna hii picha nimeiona sehemu, sijui kama ni ya leo ila kama ni ya leo nahisi mtakua mumeanza kupata akili....
![]()