Rais Kenyatta atembelea Ubalozi wa Tanzania kutoa heshima kwa Hayati Rais Magufuli


Hehehe!! Wacha nikuache nisije kupigwa ban nyingine.....
 
Nimeikuta kwenye mitandao yenu mnaijadili wenyewe
Peleka vurugu zako hizo kwa huu uzi maana ndiko inajadiliwa Mama Samia na wengine wote wamevaa Barakoa
Eti ume-edit ili usionekane uliandika nini!

Uliandika hivi.

 
Eti ume-edit ili usionekane uliandika nini!

Uliandika hivi.

Ni kweli ndivyo nilikua nimeandika nikiwa na nia ya kukuadabisha ila nikakumbuka humu mod watakuja na kunipiga ban nyingine, sijazizoea kama wewe, hivyo nime-edit kwa kutumia busara na kukuacha uwe mshindi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…