Rais Kenyatta azindua kikosi cha kwanza cha ulinzi wa baharini

Rais Kenyatta azindua kikosi cha kwanza cha ulinzi wa baharini

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amezindua kikosi cha kwanza nchini humo cha ulinzi wa baharini.

Kikosi hicho kina jukumu la kulinda na kuangalia mipaka ya Kenya baharini dhidi ya miongoni mwa mengi, uvuvi haramu ambao rais Kenyatta ameeleza unaigharimu nchi takriban dola milioni 100 kila mwaka.

Rais Kenyatta amekizindua kikosi hicho karibu na ufukwe wa mji wa pwani Mombasa, ambapo alizindua chombo cha MV Doria, kitakachotumika kwa uangalizi baharini.

Crdt:BBC
IMG_20181119_183100.jpeg
 
Jiwe kazindua opereshen kulinda maduka ya kubadilishia fedha chin ya jwtz
 
Back
Top Bottom