Rais Kenyatta azindua Treni ya Kisasa ya kusafirisha mizigo ya kuanzia Mombasa hadi Nairobi

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo anazindua treni ya kwanza ya kusafirisha mizigo katika reli mpya ya kisasa iliyojengwa kutoka Mombasa hadi Nairobi.
Reli hiyo ni ya urefu wa kilomita 472 na treni zitakuwa zikisafiri kwa kasi ya wastani ya kilomita 120 kwa saa.
Rais Kenyatta atafungua rasmi reli hiyo kesho Jumatano kwa kuzindua huduma ya treni za uchukuzi wa abira, na kisha kuabiri treni na kusafiri nayo hadi Nairobi.
Treni hiyo itachukua muda wa saa nne unusu kufika Nairobi, safari ambayo huchukua karibu saa nane kwa kutumia basi.

18767818_1558894980795828_4853556263607694287_n.jpg

18767790_1558895080795818_2215582960728213054_n.jpg

Chanzo: BBC
 
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta leo anazindua treni ya kwanza ya kusafirisha mizigo katika reli mpya ya kisasa iliyojengwa kutoka Mombasa hadi Nairobi.
Reli hiyo ni ya urefu wa kilomita 472 na treni zitakuwa zikisafiri kwa kasi ya wastani ya kilomita 120 kwa saa.
Rais Kenyatta atafungua rasmi reli hiyo kesho Jumatano kwa kuzindua huduma ya treni za uchukuzi wa abira, na kisha kuabiri treni na kusafiri nayo hadi Nairobi.
Treni hiyo itachukua muda wa saa nne unusu kufika Nairobi, safari ambayo huchukua karibu saa nane kwa kutumia basi.

Chanzo: BBC
Sisi tunahangaika na mchanga.
 
This is commendable.I like the bit especially on technology and skill Transfer
 
Tembo mweupe huyooooo anaza safari [emoji23][emoji23] [emoji23]
 
Tembo Mweupe ni Bagamoyo Port and The Dubai of Africa in Kigoma..... Those which will not happen in 100 years
Haha, punguza hasira kijana, Wachina tiyari wameshawauzia mbuzi kwenye gumia "No Return Policy In effect."
 
Mbona hio train/ gari moshi ni yale yale ya zamani? Kilichobadirika ni railway - kutoka ile ya vyuma ya mkoloni na kuwekwa kwenye standard gauge kama hii ya kwetu ya Tazara. But the locomotives and their wagons are same as like the TAZARA.

Ngoma ni diesel tupu hakuna umeme wala nini? Madude mengine yote ni kama Tazara 70s.
 
Awesome. The passenger one is being launched tomorrow. Time to take a trip to Mombasa and back in it.

Na wenye wivu waendelee kujinyonga hadi wafe waishe.
 
Mbona hio train/ gari moshi ni yale yale ya zamani? Kilichobadirika ni railway - kutoka ile ya vyuma ya mkoloni na kuwekwa kwenye standard gauge kama hii ya kwetu ya Tazara. But the locomotives and their wagons are same as like the TAZARA.

Ngoma ni diesel tupu hakuna umeme wala nini? Madude mengine yote ni kama Tazara 70s.
Nunueni bullet train za mizigo kwenyu mtuache na zetu
 
Back
Top Bottom