Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wiki mbili zilizopita rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ampepitisha agizo la kubana matumizi serikalini likiwemo la kusimamisha huduma ya kupelekwa magazeti ktk ofisi za serikali.jee wana jamvi amri hiyo ingekuwa hapa Tanzania kitendo cha kuzuia magazeti kupelekwa maofisini si ndio ingekuwa kifo cha magazeti ya UHURU na MZALENDO na DAILY NEWS&SUNDAY NEWS? Maana magazeti hayo ndio pekee hulazimisha idara za serikali kuyanunua.kwani uraiani hayana tena soko!!! Tujadili.