Rais Kenyatta na Raila hujadiliana wakati siasa zinatishia amani

Rais Kenyatta na Raila hujadiliana wakati siasa zinatishia amani

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Wakenya tunafaa tukome kabisa, tusiwai regelea yale yaliofanyika mwaka wa 2008, viongozi wetu na familia zao hazitawai lala njaa wala kukosa amani, siku zote hata wakosane vipi, bado utajiri na afya zao zitabaki vile vile.

Na pia ni vizuri kwamba hawa viongozi wameacha nafasi au kutengeza njia ya kujadiliana wakati jambo latishia kwenda mrama ata kama hao ni maadui wa kisiasa, tunafaa sote tuige mfano






Cord leader Raila Odinga urged unity and peace at Mzee Jomo Kenyatta's memorial service, to which President Uhuru Kenyatta invited him.
Mzee Kenyatta, who died 38 years ago, was the President's father. He was buried nine days later in a state funeral at the Mausoleum in parliament's precincts.
Read: Uhuru to lay wreath on Mzee Jomo Kenyatta's grave
Raila celebrated the founding father for sacrificing a lot to ensure Kenya attained independence in 1963.
"I remember Mzee Kenyatta speaking to me in German and we would laugh about it," he said in his tribute at Holy Family Basilica in Nairobi.
"Our families have been friends for a long time and I know of the sacrifices he made for this country, even paying heavily for our freedom."
Raila said Kenyans should focus on issue-based politics and not brew division in the run up to the 2017 general election.
The opposition leader asked Kenyans to borrow a leaf from the experiences of the independence era and ensure they do not get into tribal fights during political debates.
The former Prime Minister assured Kenyans that the poll set for August 8, 2017 will be peaceful.
"Kenya will never again shed blood because of politics. The nation is bigger than any of us... When things heat up we must know when to stop and talk," he said.
Raila said he and Uhuru talk whenever there is tension in the country because they value it and want a better life for everyone.
"I hope we will maintain this as we head to the campaigns, which will of course cause excitement among the people," he said.
During the service Uhuru said Kenyans will never again shed blood because of political competition.
The President said as the country marks the 38 anniversary of the death of the country’s founding father Mzee Jomo Kenyatta, Kenyans need to embrace the strong legacy left behind by the pioneers and make positive contributions for a better country.
Uhuru said as the country prepares for the next General Election, political competition should be based on programs and ideology not unnecessary issues.
The service was presided over by Rt. Rev. David Kamau, the Auxiliary Bishop of Nairobi Catholic Archdiocese.
Big Read : Mzee Jomo Kenyatta: The carpenter who became president and a renowned pan-africanist
Raila, Uhuru share podium at Mzee Jomo Kenyatta memorial
 
he! hio makosa naiona sahii, kwa akili yangu niliandika Rains Kenyatta na Raila, ata sijui hio Uhuru ilitoka na wapi, mi sikumbuki kuiandika
 
Halafu wewe Kafrican haya mambo ya kupiga chupa kadhaa za beer halafu unaanza kubonyeza bonyeza simu ukiingia JF, ndio yanapelekea wewe kuona marais Uhuru wawili badala ya Raila na Kenyatta....hehehehe

Anyway wanasiasa wote lao moja, cha msingi ni mwananchi kujitambua na kufahamu malengo yako ndani ya nchi maana hawa huwa hawakawii kugeuziana vibao na kurushiana vijembe.
 
MK254
Hahaha, wanifanya ni pasue mbele ya watu. BTW, weekend nilirudi home na chupa nusu ya Vodka coz sikutaka kulewa, then on monday jioni nikirudi kwa hao nikaendelea kuimaliza. hahahah

Hoshea
Akili maranyingiine inavituko, nafikiri akili (subconscious and conscious) zilikua bado zinajadiliana kama niandike jina moja au majina mawili(Uhuru Kenyatta). Nilipoamua kuandika kenyatta, bado subconscious ilikua inafikiria jina Uhuru kwaivyo nilipofika kwa Raila, nikaandika Uhuru lakini concious ilikua inaniambia nimeandika Raila... Hata baada ya kuangalia hio mada kama mara tatu bado sikugundua makosa, mpaka nilipotamka na mdomo leo, kama hakuna mtu angenionyesha hayo makosa singewai yagundua mwenyewe

Iconoclastes
ah! Mondays, my worst kinda day, Monday inafaa ianze saa sita aki, hio siku hua lazma ianze na uchovu,uvivu, headache.. Its only on Mondays that I have thoughts like, 'when is the next national holiday?
 
Back
Top Bottom